sw_heb_text_ulb/03/14.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 14 Kwa maana tumekuwa washiriki wa Kristo ikiwa tutashikamana na uthabiti wetu kwa nguvu katika yeye kutoka mwanzo hadi mwisho. \v 15 Kuhusu hili imekwisha kusemwa, "Leo kama mtaisikiliza sauti yake, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu, kama Waisraeli walivyofanya wakati wa uasi."