sw_heb_text_ulb/03/09.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 9 Huu ulikuwa wakati ambao baba zenu waliniasi kwa kunijaribu, na wakati, kwa miaka arobaini, waliona matendo yangu. \v 10 Kwa hiyo sikufurahishwa na kizazi hicho. Nilisema, 'Wanapotea kila mara katika mioyo yao, na hawajui njia zangu. \v 11 Ni kama vile nilivyoapa katika hasira yangu: hawataiingia raha yangu."