1 line
433 B
Plaintext
1 line
433 B
Plaintext
\v 13 Tena asema, "Nitaamini katika yeye." Na tena, "Tazama, hapa nipo na watoto ambao Mungu amenipa." \v 14 Kwa hiyo, kwa kuwa watoto wa Mungu wote hushiriki mwili na damu, kadhalika Yesu alishiriki vitu vilevile, ili kwamba kupitia kifo apate kumdhohofisha yule ambaye ana mamlaka juu ya mauti, ambaye ni ibilisi. \v 15 Hii ilikuwa hivyo ili awaweke huru wale wote ambao kupitia hofu ya kifo waliishi maisha yao yote katika utumwa. |