sw_heb_text_ulb/01/13.txt

1 line
244 B
Plaintext

\v 13 Lakini ni kwa malaika yupi Mungu alisema wakati wowote, "Keti mkono wangu wa kulia mpaka nitakapowafanya adui zako kuwa kiti cha miguu yako"? \v 14 Je, malaika wote siyo roho zilizotumwa kuwahudumia na kuwatunza wale watakaourithi wokovu?