sw_heb_text_ulb/01/08.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 8 Lakini kuhusu Mwana husema, "Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele. Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya haki. \v 9 Umependa haki na kuchukia uvunjaji wa sheria, kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekupaka mafuta ya furaha kuliko wenzako."