sw_heb_text_ulb/01/06.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 6 Tena, wakati Mungu alipomleta mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, husema, "Malaika wote wa Mungu lazima wamwabudu." \v 7 Kuhusu malaika asema, "Yeye ambaye hufanya malaika zake kuwa roho, na watumishi wake kuwa ndimi za moto."