sw_heb_text_ulb/01/04.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 4 Amekuwa bora kuliko malaika, kama vile jina alilolirithi lilivyo bora zaidi kuliko jina lao. \v 5 Kwa maana ni kwa malaika gani aliwahi kusema, "Wewe ni mwanangu, leo nimekuwa baba yako?" Na tena, "Nitakuwa baba kwake, naye atakuwa mwana kwangu?"