sw_heb_text_ulb/13/22.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 22 Sasa ninakutia moyo, ndugu, kuchukuliana na neno la kutia moyo ambalo kwa ufupi nililiandika kwenu. \v 23 Fahamu kwamba ndugu yetu Timotheo ameshaachiwa huru, ambaye pamoja naye nitawaona kama atakuja hivi karibuni.