sw_heb_text_ulb/06/04.txt

1 line
410 B
Plaintext

\v 4 Kwa kuwa haiwezekani kwa wale ambao waliipata nuru awali, ambao walionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa kuwa washirika wa Roho Mtakatifu, \v 5 na ambao walionja uzuri wa neno la Mungu na kwa nguvu za wakati ujao, \v 6 na kisha wakaanguka - haiwezekani kuwarejesha tena katika toba. Hii ni kwa sababu wamemsulubisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, wakimfanya kuwa chombo cha dhihaka hadharani.