1 line
295 B
Plaintext
1 line
295 B
Plaintext
\v 4 Na hakuna mtu achukuaye heshima hii kwa ajili yake mwenyewe, lakini badala yake, lazima aitwe na Mungu, kama alivyokuwa Haruni. \v 5 Hata Kristo hakujipa heshimu mwenyewe kwa kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Badala yake, Mungu alisema kwake, " Wewe ni mwanangu, leo nimekuwa Baba yako." |