sw_heb_text_ulb/02/05.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 5 Mungu hakuuweka ulimwengu ujao, ambao tunaongelea habari zake, chini ya malaika. \v 6 Badala yake, mtu fulani ameshuhudia mahali fulani akisema, "Mtu ni nani, hata uweze kumkumbuka? Au mwana wa mtu, hata umtunze?