sw_heb_text_ulb/13/18.txt

1 line
212 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 18 Tuombeni, kwani tuna uhakikwa kwamba tuna dhamira njema, tunatamani kuishi maisha ya heshima katika mambo yote. \v 19 Na nyote ninawatia moyo zaidi mfanye hivi, ili kwamba niweze kurudi kwenu hivi karibuni.