sw_heb_text_ulb/13/09.txt

1 line
431 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 9 Usije ukaongozwa na mafundisho mbalimbali ya kigeni kwani ni vizuri kwamba moyo ujengwe kwa neema, na siyo kwa sheria kuhusu chakula hayo hayatawasaidia wale wanaoishi kwa hayo. \v 10 Tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumika ndani ya hekalu hawana haki ya kula. \v 11 Kwa kuwa damu za wanyama, zilizotolewa dhabihu kwa ajili ya dhambi, ililetwa na kuhani mkuu ndani ya sehemu takatifu, lakini miili yao ilichomwa nje ya kambi.