sw_heb_text_ulb/08/08.txt

1 line
392 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 8 Kwa kuwa wakati Mungu alipogundua makosa kwa watu alisema, "Tazama, siku zinakuja, 'asema Bwana, 'wakati nitakapotengeneza agano jipya pamoja na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. \v 9 Halitakuwa kama agano nililofanya pamoja na baba zao siku ambayo niliwachukua kwa mkono kuwaongoza kutoka nchi ya Misri. Kwa kuwa hawakuendelea katika agano langu, nami sikuwajali tena,' asema Bwana.