sw_hab_text_reg/03/14.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 14 Umekichoma kichwa cha mashujaa wake kwa mishale yake mwenyewe sababu walikuja kama mawimbi kututawanya; wivu wao ulikuwa kama mtu anayemwangamiza maskini mafichoni. \v 15 Umekanyaga juu ya bahari kwa farasi wako, na kuyarundika maji makuu.