Fri Apr 01 2022 12:44:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-04-01 12:44:12 +03:00
parent d7631f11e0
commit b62252f6af
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Hivyo basi, ninyi watu wa mataifa si wasafiri na wageni tena. Bali ni wenyeji pamoja na wale watakatifu kwa ajili ya Mungu na wajumbe katika nyumba ya Mungu. \v 20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii. Kristo Yesu mwenyewe alikuwa jiwe kuu la pembeni. \v 21 Katika yeye jengo lote limeungamanishwa pamoja na kukua kama hekalu ndani ya Bwana. \v 22 Ni ndani yake ninyi nanyi mnajengwa pamoja kama mahali pa kuishi pa Mungu katika Roho.
\v 19 Hivyo basi, ninyi watu wa mataifa si wasafiri na wageni tena. Bali ni wenyeji pamoja na wale watakatifu kwa ajili ya Mungu na wajumbe katika nyumba ya Mungu. \v 20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii. Kristo Yesu mwenyewe alikuwa jiwe kuu la pembeni. \v 21 Katika yeye jengo lote limeungamanishwa pamoja na kukua kama hekalu ndani ya Bwana. \v 22 Ni ndani yake ninyi nanyi mnajengwa pamoja kama mahali pa kuishi pa Mungu katika Roho Mtakatifu.

View File

@ -42,6 +42,7 @@
"02-08",
"02-11",
"02-13",
"02-17"
"02-17",
"02-19"
]
}