sw_ecc_text_reg/04/05.txt

1 line
213 B
Plaintext

\v 5 Mpumbavu hukunja mikono yake na hafanyi kazi, hivyo chakula chake ni mwili wake. \v 6 Lakini afadhari konzi ya faida pamoja na kazi ya haraka kuliko konzi mbili pamoja na kazi ambayo hujaribu kuuchunga upepo.