sw_ecc_text_reg/05/15.txt

1 line
398 B
Plaintext

\v 15 Kama mtu azaliwavyo uchi kutoka tumboni mwa mamaye, vivyo hivyo ataondoka katika maisha haya akiwa uchi. Hachukui chochote kutoka katika kazi yake. \v 16 Jambo jingine baya kabisa, kama mtu alivyo kuja ni lazima aende vivyo hivyo. Hivyo ni faida gani mtu yeyote aipatayo katika kufanya kwa ajili ya upepo? \v 17 Wakati wa siku zake anakula gizani na anafedheheshwa sana na magonjwa na hasira.