sw_ecc_text_reg/01/12.txt

1 line
445 B
Plaintext

\v 12 Mimi ni mwalimu, na nimekuwa mfalme juu ya Isareli katika Yerusalemu. \v 13 Nilitia akili yangu katika kusoma na kutafuta kwa hekima kila kitu kinachofanywa chini ya mbingu. Hili nalo ni jukumu zito ambalo Mungu amewapa wanadamu kujishughulisha nalo. \v 14 Nimeona matendo yote ambayo yanafanyika chini ya dunia, na tazama yote ni mvuke ni kujaribu kuuchunga upepo. \v 15 Palipopinda hapawezi kunyoshwa! Kisicho kuwepo hakiwezi kuhesabiwa!