sw_ecc_text_reg/11/06.txt

1 line
430 B
Plaintext

\v 6 Asubuhi panda mbegu yako; hadi jioni, fanya kazi kwa mikono yako kama inavyo hitajika kwa kuwa haujui ni ipi itafanikiwa, jioni au asubuhi, au hii au ile au zote zitakuwa nzuri. \v 7 Kweli nuru ni tamu, na ni kitu cha kufurahisha kwa ajili ya macho kuona jua. \v 8 Kama mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote, lakina na afikiri juu ya siku zijazo za giza, kwa kuwa zitakuwa nyingi. Kila kitu kijacho ni mvuke unaoteketea.