sw_ecc_text_reg/01/07.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 7 Mito yote hutiririsha maji bahari, lakini bahari haijai. Mahali mito inakoenda, ndiko inakoenda tena. \v 8 Kila kitu huwa uchovu, na hakuna yeyote awezae kukielezea. Jicho halishibina kile linachokiona, wala sikio haliriziki na kile linachosikia.