sw_ecc_text_reg/12/08.txt

1 line
195 B
Plaintext

\v 8 Kama ukungu wa mvuke," asema mwalimu, kila kitu ni mvuke upoteao. \v 9 Mwalimu alikuwa na hekima na aliwafundisha watu maarifa. Alisoma na kuazimu na kutunga mithali nyingi katika mpangilio.