\v 8 Yeyote anayechimba shimo anaweza kutumbukia yake, na popote mtu anayevunja ukuta, nyoka anaweza kumuuma. \v 9 Yeyote achongaye mawe, anaweza kuumizwa nayo. Na mtu achongaye mbao, anaweza kujihatarisha kwa hiyo.