sw_ecc_text_reg/09/06.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 6 Upendo wao, chuki na wivu vimekatiliwa mbali muda mwingi. Hawatapata sehemu katika kitu chochote kinachofanyika chini ya jua. \v 7 Nenda zako, kula mkate wako kwa furaha, na kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha, kwa kuwa Mungu huruhusu kusherehekea kazi njema. \v 8 Nguo zako ziwe nyeupe siku zote, na kichwa chako kipake mafuta.