\v 19 Hekima ina nguvu ndani ya mwenye hekima, zaidi ya watawala kumi katika mji. \v 20 Hakuna mtu mwenye haki juu ya nchi anayefanya mema na hatendi dhambi.