sw_ecc_text_reg/06/11.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 11 Maneno mengi ambayo yanaongelewa, ndivyo yasiyo na maana yanaongezeka, kwa hiyo ni faida gani iliyopo kwa mwanadamu? \v 12 Kwa kuwa ni nani ajuaye nini kilicho kizuri kwa mtu kwa hizo anapita kama kivuri? Ni nani anaeweza kumwambia mtu kile kitakacho kuja duniani baada ya kupita?