sw_ecc_text_reg/06/01.txt

1 line
291 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Kuna ubaya ambao nimeuona duniani, na ni mbaya kwa watu. \v 2 Mungu anaweza kumpa mtu mali na utajiri na heshima kwa kiasi kwamba hakosi chochote anachokitamani mwenyewe, lakini kisha hampi uwezo wa kukifurahia. Badala yake mtu mwingine hutumia vitu vyake. Huu ni mvuke, teso baya.