sw_ecc_text_reg/05/13.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 13 Kuna jambo gumu zaidi ambalo nimeliona duniani: mali iliyowekwa akiba na mwenye nayo, inamsababishia taabu mwenyewe. \v 14 Wakati tajiri anapopoteza utajiri wake kwa bahati mbaya, mwana wake, ambaye amemzaa, habakiziwi chochote mikononi mwake.