sw_ecc_text_reg/05/04.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 4 Ukiweka nadhili kwa Mungu, usichelewe kuifanya, kwa kuwa Mungu hafurahii upumbavu. Fanya kile ulichoapa utakifanya. \v 5 Ni bora kutokuweka nadhiri kuliko kuweka nadhiri ambayo usiyoiondoa.