sw_ecc_text_reg/04/07.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 7 Kisha nikafikiri tena zaidi kuhusu ubatili, mvuke upoteao zaidi chini ya jua. \v 8 Kuna aina ya mtu ambaye yuko peke yake. Hana mtu, hana mwana, wala ndugu. Hakuna mwisho wa kazi zake zote, na macho yake hayaridhiki kwa kupata utajiri. Anashangaa, "Ninajihangaisha na kuharibu furaha yangu kwa ajili ya nani?" Huu pia ni mvuke, hali mbaya.