sw_ecc_text_reg/02/19.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 19 Na ni nani ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu? Ila atakuwa mtawala juu ya kila kitu chini ya dunia ambayo kazi yangu na hekima yangu imeyajenga. Huu pia ni mvuke. \v 20 Kwa hiyo moyo wangu ukaanza kukata tamaa juu ya kazi zote nilizozifanya chini ya dunia.