sw_ecc_text_reg/01/04.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 4 Kizazi kimoja huenda, na kizazi kingine huja, lakini dunia yabaki milele. \v 5 Jua huchomoza na jua huzama na kwenda kwa haraka, na kurudi mahali linapochomozea tena. \v 6 Upepo huvuma kusini na huzunguka kaskazini, na mara zote huzunguka katika njia yake na kurudi tena.