sw_ecc_text_reg/07/17.txt

1 line
199 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 17 Usiwe mwovu sana au mpumbavu. Kwa nini ufe kabla ya wakati wako? \v 18 Ni vyema kwamba ushike hekima hii, na kwamba usiache haki iende zake. Kwa kuwa mtu amchae Mungu atatimiza ahadi zake zote.