sw_ecc_text_reg/06/07.txt

1 line
225 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 7 Ingawa kazi yote ya mtu ni kujaza mdomo wake, ila hamu yake haishibi. \v 8 Hakika ni faida gani aliyo nayo mwenye hekima kuliko mpumbavu? Ni faida gani aliyo nayo masikini hata kama anajua jinsi ya kutenda mbele ya watu?