sw_ecc_text_reg/05/19.txt

1 line
272 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 19 Yeyote ambaye Mungu amempa vitu na pesa na uwezo wa kupokea sehemu yake na kufurahi katika kazi yake hii ni zawadi kutoka kwa Mungu. \v 20 Kwa kuwa mara kadhaa hakumbuki siku za maisha yake, kwa sababu Mungu anamfanya kuhangaika na mambo ambayo anafurahia kuyafanya.