sw_deu_text_reg/33/14.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 14 Nchi yake na ibarikiwe na vitu vya thamani mavuno ya jua, na vitu vya thamani mazao ya miezi, \v 15 kwa vitu vizuri vya milima ya zamani, na kwa vitu vya thamani vya milima ya milele.