sw_deu_text_reg/33/11.txt

1 line
152 B
Plaintext

\v 11 Bariki mali zake, Yahwe, na kubali kazi ya mikono yake. Vunja viuno vya wale wanaoinuka dhidi yake, na wale watu wanaomchukia, ili wasiinuke tena.