sw_deu_text_reg/31/01.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 1 Musa alikwenda na kuzungumza maneno haya kwa Israeli yote. \v 2 Alisema kwao, “Kwa sasa nina umri wa miaka mia moja na ishirini; Siwezi kutoka na kuingia tena; Yahwe ameniambia, “Hautavuka Yordani hii” \v 3 Yahwe Mungu wako, atakutangulia mbele yako; ataangamiza mataifa haya mbele yako, nawe utawanyanganya. Yoshua atakwenda kabla yako, kama Yahwe alivyonena.