sw_deu_text_reg/20/10.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 10 Wakati mtokapo kuteka mji, wafanye watu hao toleo la amani. \v 11 Kama watapokea amani na kufungua malango yao kwako, watu wote wanaopatikana ndani yake wanapaswa kulazimishwa kukufanyia kazi na wanapaswa kukutumikia.