sw_deu_text_reg/28/33.txt

1 line
320 B
Plaintext
Raw Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

\v 33 Mavuno ya ardhi yako na ya kazi yako yote taifa usilolijua litayatafuna; daima utaonewa na kugandamizwa, \v 34 ili upatwe na wazimu kwa yale utakayoona yakitendeka. \v 35 Yahwe atakushambulia kwenye magoti na miguu kwa majibu makali ambayo hutaweza kupona, kutoka chini ya miguu yako mpaka juu ya kichwa chako.