sw_deu_text_reg/12/03.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 3 Na mtayavunja madhabahu yao, mtaharibu kwa vipandevipande nguzo zao za mawe, na kuchoma ncha za Asherahi, mtazikata sanaa za kuchongwa za miungu yao na kuangamiza jina lao nje ya eneo hilo. \v 4 Hamtamwabudu Yahwe Mungu wenu kama hivyo.