sw_deu_text_reg/01/15.txt

1 line
401 B
Plaintext

\v 15 Kwa hviyo nilichukua vichwa vya makabila yenu, wanaume wa hekima, na wanaume wenye sifa nzuri, na nikawafanya kuwa vichwa juu yenu, jemedari kwa elfu, jemedari kwa hamsini, jemedari kwa kumi, na maakida, kabila kwa kabila. \v 16 Niliwaamuru waamuzi wenu kwa wakati huo, kusema, 'Zikiliza mabishano kati ya ndugu zenu, na muhukumu kwa haki kati ya ndugu na ndugu zake, na mgeni aliye pamoja naye.