1 line
314 B
Plaintext
1 line
314 B
Plaintext
\v 14 Kwa maana ninafanya agano hili na kiapo hiki sio na wewe tu – \v 15 pamoja kila mtu aliyesimama hapa pamoja nasi leo mbele ya Yahwe Mungu wetu – bali na wale ambao hawapo pamoja nasi leo pia. \v 16 Unajua jinsi tulivyoishi katika nchi ya Misri, na jinsi tulivyopenya miongoni mwa mataifa ambao uliwapita. |