1 line
320 B
Plaintext
1 line
320 B
Plaintext
\v 33 Mavuno ya ardhi yako na ya kazi yako yote – taifa usilolijua litayatafuna; daima utaonewa na kugandamizwa, \v 34 ili upatwe na wazimu kwa yale utakayoona yakitendeka. \v 35 Yahwe atakushambulia kwenye magoti na miguu kwa majibu makali ambayo hutaweza kupona, kutoka chini ya miguu yako mpaka juu ya kichwa chako. |