sw_deu_text_reg/22/23.txt

1 line
405 B
Plaintext

\v 23 Iwapo kuna msichana bikra, ambaye amechumbiwa na mwanaume, kisha mwanaume mwingine kamkuta mjini na kulala naye, \v 24 wachukueni wote wawili malangoni mwa mji, na kuwapiga mawe. Unapaswa kumpiga msichana mawe, kwa sababu hakupaza sauti kuomba msaada, ingawa alikuwa ndani ya mji. Unapaswa kumpiga mwanaume mawe, kwa sababu amemwingilia mke wa jirani yake; nanyi mtakuwa mmeondoa uovu miongoni mwenu