sw_deu_text_reg/23/05.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 5 Lakini Yahwe Mungu wako hakumsikiliza Balaamu; badala yake, Yahwe Mungu wako aligeuza laana kuwa baraka kwenu, kwa sababu Yahwe Mungu wako aliwapenda. \v 6 Hamtakiwi kutafuta amani au mafanikio yao, katika siku zenu zote.