sw_deu_text_reg/11/31.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 31 Kwa maana mtavuka ng'ambo ya pili ya Yordani kuingia kumiliki nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa, na mtamiliki na kuishi ndani yake. \v 32 Mtashika sheria zote na amri ninazoweka mbele yenu leo.