sw_deu_text_reg/08/09.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 9 Ni nchi ambayo mtakula mkate bila kupungukiwa, na ambapo mtaenda bila chochote; nchi ambayo mawe yametenganishwa kwa chuma, na kutokana na milima, mtaweza kuchimba shaba. \v 10 Mtakula na kushiba, na mtambariki Yahwe Mungu wenu kwa nchi nzuri ambayo amewapa.