\v 3 Kwa maana nitatangaza jina la Yahwe, na kumpatia ukuu Mungu wetu. \v 4 Mwamba, kazi yake ni kamili; kwa maana njia zake ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu, hana udhalimu. Yeye ni wa haki na mwadilifu.