sw_deu_text_reg/07/01.txt

1 line
238 B
Plaintext

\c 7 \v 1 Wakati Yahwe Mungu wenu atatuleta katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki na kuwaondoa mataifa mengi mbele zenu- Mhiti, Mgirgashi na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, Mhivi, Myebusi- mataifa saba makubwa na yenye nguvu kuliko wewe.